Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Miaka kumi kabla ya Christopher Columbus kufunga safari yake maarufu ya kwenda Amerika mwaka wa 1492, mabaharia Wareno walioongozwa na Diogo Cão walifika kwenye mlango wa Mto Kongo huko Afrika ya kati. Hawakujua kwamba mto huo ulitiririka kwa maelfu ya kilometa kabla ya kufika baharini.

  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Leo, Brazzaville ndilo jiji kubwa zaidi katika Jamhuri ya Kongo. Jiji hilo liko kwenye kingo za Mto Kongo. Sehemu kubwa ya mto huo wenye urefu wa kilometa 400 hutiririka kwa kishindo kwenye majabali na miamba kuelekea baharini, ambako meli ya Cão ilitia nanga wakati wa safari yake ya uvumbuzi. Ukiwa Brazzaville unaweza kuona kwa mbali Kinshasa, jiji kuu la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ng’ambo ya mto huo. Kwa kuwa nchi zote mbili zinaitwa kwa jina la mto huo, kwa kawaida nchi moja huitwa Kongo (Brazzaville) na nyingine Kongo (Kinshasa).

      Maporomoko yanafanya isiwezekane kusafiri kwenye mto huo kutoka Brazzaville kuelekea Bahari ya Atlantiki.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki