Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mwacheni Msomaji Atumie Ufahamu”
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Mei 1
    • Ni wazi kwamba Yesu alikuwa akilirejezea jeshi la Waroma ambalo lingekuja mwaka wa 66 W.K. likiwa na bendera za kipekee. Bendera za aina hiyo, ambazo zilikuwa zimetumika kwa muda mrefu, zilikuwa sanamu hasa, nazo ziliwachukiza sana Wayahudi.a

  • “Mwacheni Msomaji Atumie Ufahamu”
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Mei 1
    • a “Bendera za Waroma zilipewa ulinzi na heshima ya kiibada katika mahekalu huko Roma; na heshima hii ya kiibada ya watu hao kwa bendera zao ililingana na ushindi wao juu ya mataifa mengine . . . [Kwa wanajeshi, bendera hiyo] labda ilikuwa ndicho kitu kitakatifu zaidi duniani. Mwanajeshi Mroma aliapa kwa bendera yake.”—The Encyclopædia Britannica, Chapa ya 11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki