-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Pasipo shaka, Wakristo hao katika Esia walipaswa wakabiliane na wimbi jingine la mnyanyaso mbaya sana kutoka Roma yenye milki.c
-
-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
c Cyclopedia ya McClintock na Strong (Buku la 10, uku. 519) huripoti: “Wamaliki walilazimishwa wauone Ukristo na ghasia zilizochochewa miongoni mwa raia na makuhani wapagani ambao walitazama kwa hofu maendeleo yenye kustaajabisha ya imani hiyo, naye Trajani [98-117 W.K.] kwa sababu hiyo aliongozwa atoe amri za kukandamiza polepole hilo fundisho jipya lililogeuza watu kuwa wachukiaji wa tumungu. Usimamizi wa Plini mchanga akiwa gavana wa Bithinia [iliyopakana na mkoa wa Kiroma wa Esia upande wa kaskazini] ulitatizwa na mambo yaliyotokana na mweneo wa haraka sana wa Ukristo na hasira kali ya raia wa kipagani ndani ya jimbo lake.”
-