-
Wakati wa Kutahini (1914-1918)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Masimulizi mafupi ya maisha ya Russell pamoja na wasia na maagizo yake vilichapishwa katika The Watch Tower la Desemba 1, 1916, pamoja na chapa za kwanza zilizofuata za buku Studies in the Scriptures.
-
-
Wakati wa Kutahini (1914-1918)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Badiliko Katika Usimamizi
Katika wasia wake Ndugu Russell alitoa muhtasari wa mpango kwa ajili ya Halmashauri ya Uhariri ya watu watano ili kuamua habari za kutiwa katika The Watch Tower.b
-