-
Waangalizi Wanaoongoza—MwandishiHuduma ya Ufalme—1998 | Oktoba
-
-
4 Mhubiri anapohamia kutanikoni au kulihama, mwandishi huomba au kupelekea wazee wa kutaniko lile jingine barua ya kumjulisha pamoja na kadi zake za Rekodi ya Kutaniko ya Mhubiri.—Huduma Yetu, uku. 104-105.
-
-
Waangalizi Wanaoongoza—MwandishiHuduma ya Ufalme—1998 | Oktoba
-
-
2 Barua ipokewapo kutoka kwa Sosaiti au kwa wengine, mwandishi huishughulikia na kuhakikisha kwamba yajibiwa inapohitajika. Yeye huhakikisha kwamba barua zinazopokewa zapitishwa miongoni mwa wazee kisha aziweka kwenye faili kwa ajili ya marejezeo.
-