Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mahali pa Muziki Katika Ibada ya Kisasa
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Februari 1
    • Kuimba kwenye mikutano yetu huandaa pia kikao kifaacho cha kuimba sehemu za ulinganifu wa sauti za melodia mbalimbali. Wale wawezao kulinganisha sauti kwa kusikia tu au wawezao kusoma mistari ya ulinganifu wa sauti katika kitabu cha wimbo na kuiimba wanatiwa moyo waimbe kwa upatano na kuongezea uzuri wa muziki.c

  • Mahali pa Muziki Katika Ibada ya Kisasa
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Februari 1
    • c Baadhi ya nyimbo katika kitabu chetu cha wimbo cha sasa, Mwimbieni Yehova Sifa, zimedumisha ule ulinganifu wa sauti wenye sehemu nne kwa manufaa ya wale wanaofurahia kuimba sehemu za ulinganifu wa sauti. Hata hivyo, nyimbo nyingi zimepangwa ili kuwa na mfuatano wa piano na zilipewa mpangilio wa kimuziki unaojaribu kuhifadhi asili za kimataifa za huo muziki mbalimbali. Kutunga sauti zenye ulinganifu kwa ajili ya nyimbo zilizoandikwa bila ule ulinganifu wa sauti wenye sehemu nne kamili huenda ukaandaa uongezeo wenye kupendeza kwenye kuimba kwetu mikutanoni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki