-
“Na Tunyoshe Mambo”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
a Kwa mujibu wa mapokeo ya kale ya Wayahudi, Mfalme Manase mwovu alifanya Isaya auawe, akatwe vipande-vipande kwa msumeno. (Linganisha Waebrania 11:37.) Chanzo kimoja chasema kuwa nabii fulani asiye wa kweli alileta mashtaka yafuatayo juu ya Isaya, ili apewe adhabu hiyo ya kifo: “Ameliita Yerusalemu Sodoma, naye amewatangaza wakuu wa Yuda na Yerusalemu (kuwa) watu wa Gomora.”
-
-
“Na Tunyoshe Mambo”Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Laanza hivi: “Lisikieni neno la BWANA, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora.”—Isaya 1:10.
2 Sodoma na Gomora yaliharibiwa, si kwa sababu ya mazoea yao mapotovu ya kingono tu, bali pia kwa sababu ya mitazamo yao ya ugumu wa moyo na yenye kiburi. (Mwanzo 18:20, 21; 19:4, 5, 23-25; Ezekieli 16:49, 50) Watu wanaomsikiliza Isaya lazima wanashtuka kusikia wakilinganishwa na watu wa majiji hayo yaliyolaaniwa.a
-