-
Uhai Katika Bonde la KifoAmkeni!—2006 | Novemba
-
-
Mandhari na Hali Zinazotofautiana Sana
Bonde hilo lenye urefu wa kilometa 225 hivi na upana wa kati ya kilometa 8 hadi 24, ndilo eneo kame zaidi, lililo chini zaidi, na lenye joto zaidi huko Amerika ya Kaskazini. Kiwango cha joto katika Kijito cha Furnace kimefikia digrii 57 Selsiasi, huku joto la ardhi likifikia digrii 94 Selsiasi. Imebaki digrii 6 tu joto hilo lifikie kiwango cha maji kuchemka!a
-
-
Uhai Katika Bonde la KifoAmkeni!—2006 | Novemba
-
-
a Kiwango cha sasa cha joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa ni digrii 58.0 Selsiasi, nacho kilifikiwa mnamo 1922 nchini Libya. Hata hivyo, kwa ujumla katika majira ya kiangazi, yaonekana Bonde la Kifo ndilo eneo lenye joto kali zaidi duniani.
-