Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ripoti ya Ulimwenguni Pote
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Uganda: Lucy ni Shahidi anayefanya kazi katika hospitali fulani. Yeye na baadhi ya wafanyakazi wenzake waliitwa kuapa kwamba si wao walioiba kiasi kikubwa cha pesa ambacho wakaguzi waligundua kimepotea. Badala ya kushika Biblia na kuapa kwamba hana hatia, Lucy alifungua andiko la Methali 15:3 na kulisoma kwa sauti: “Macho ya Yehova yako kila mahali, yakiwaangalia wabaya na wema.” Kimya kilitanda chumbani humo, na punde yule mwenye hatia akamwendea msimamizi na kukiri kwamba yeye ndiye aliyeiba pesa hizo. Msimamizi alipendekeza kwamba kuanzia wakati huo, wote wakumbuke “andiko la Lucy.” Baadaye, mshahara wa Lucy uliongezwa, naye akakabidhiwa funguo za hospitali hiyo.

  • Ripoti ya Ulimwenguni Pote
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 47]

      Lucy, Uganda

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki