-
Mtumaini Yehova Kikamili Nyakati za TaabuMnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 1
-
-
Kwa mfano, usemi, “In God We Trust” (yaani, Tunamtumaini Mungu) umeonekana kwa muda mrefu kwenye noti na sarafu za Marekani.a Katika mwaka wa 1956, Bunge la Marekani lilipitisha sheria iliyotangaza usemi huo kuwa wito wa taifa la Marekani.
-
-
Mtumaini Yehova Kikamili Nyakati za TaabuMnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 1
-
-
a Katika barua yake ya Novemba 20, 1861, aliyoandikia kiwanda cha kutengeneza pesa cha Marekani, Waziri wa Fedha, Salmon P. Chase alisema: “Hakuna taifa linaloweza kuwa na nguvu bila kutegemea nguvu za Mungu, au kuwa salama pasipo ulinzi Wake. Tunapaswa kuonyesha kwenye sarafu za taifa letu kwamba raia zetu wanamtumaini Mungu.” Kwa hiyo, ule wito “In God We Trust” ulionekana mara ya kwanza katika sarafu ya Marekani mwaka wa 1864.
-