-
Naam, Hili Ni Toleo la Funzo!Mnara wa Mlinzi—2012 | Januari 15
-
-
Katika muda huo wa miaka 133, mabadiliko kadhaa yamefanywa kwenye jalada la gazeti hilo. Katika mwaka wa 2012, kila toleo la funzo litakuwa na mchoro wa rangi unaoonyesha ndugu na dada wakitoa ushahidi, na hivyo kutukumbusha kazi tuliyopewa na Mungu ya kutoa ushahidi kamili kuhusu Ufalme wa Yehova. (Mdo. 28:23) Kwenye ukurasa wa 2 wa jalada, utaona picha halisi ya mchoro ulio kwenye jalada, pamoja na maelezo machache kuhusu utendaji ulio kwenye jalada na mahali ambapo picha hiyo ilipigwa.
-
-
Naam, Hili Ni Toleo la Funzo!Mnara wa Mlinzi—2012 | Januari 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 3]
1879
[Picha katika ukurasa wa 3]
1895
[Picha katika ukurasa wa 3]
1931
[Picha katika ukurasa wa 3]
1950
[Picha katika ukurasa wa 3]
1974
[Picha katika ukurasa wa 3]
2008
-