Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Hupendezwa Sana na Utumishi Wako wa Nafsi Yote
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 15
    • Yeye alijua pia kiwango barabara cha zawadi yake—“sarafu ndogo mbili, zenye thamani ndogo sana.”b—Marko 12:41, 42.

  • Yehova Hupendezwa Sana na Utumishi Wako wa Nafsi Yote
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Oktoba 15
    • b Kila moja ya sarafu hizi ilikuwa leptoni, sarafu ndogo zaidi ya Kiyahudi iliyotumiwa wakati huo. Lepta mbili (moja ni leptoni, nyingi ni lepta) zilitoshana na sehemu moja ya 64 ya mshahara wa siku. Kulingana na Mathayo 10:29, kuwa na sarafu ya asarioni (inayolingana na lepta nane), mtu angeweza kununua shomoro wawili ambao walikuwa miongoni mwa ndege wa bei ya chini zaidi waliotumiwa kwa chakula na maskini. Kwa hiyo mjane huyo alikuwa maskini kwelikweli, kwa kuwa alikuwa na nusu tu ya kiasi cha kununua shomoro mmoja, ambacho hakingeweza kutosha hata mlo mmoja.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki