Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Kwa sasa kuna vichapo katika lugha 46 za ishara, na bado vingine vitatolewa katika lugha nyingine 13. Gazeti Mnara wa Mlinzi linapatikana katika lugha tisa za ishara, na sehemu za Tafsiri ya Ulimwengu Mpya zimetolewa katika lugha za ishara za Brazili, Italia, Kolombia, Marekani, Mexico, na Urusi.

  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2011 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Utegemezo wanaopata kutoka kwa vitabu, broshua, video, na drama za Biblia 30 ambazo zimetafsiriwa katika lugha mbalimbali za ishara zinawahakikishia kwamba Yehova anawapenda na anathamini utumishi wao mshikamanifu.

      Ofisi za tawi 54 ambazo hutafsiri vichapo katika lugha ya ishara zinapokea barua nyingi za shukrani kutoka kwa ndugu na dada na watu wanaopendezwa katika maeneo ya lugha ya ishara.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki