Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Mnamo Machi 1956, mishonari wa kwanza wanne waliwasili kutoka Ufaransa: Jean na Ida Seignobos

  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Ndugu Seignobos aliwekwa kuwa mwangalizi wa tawi. Muda mfupi baadaye, msiba ulitokea ghafula wakati Ida, mke wa Jean, alipokufa katika aksidenti ya gari walipokuwa wakitembelea makutaniko katika ile inayoitwa sasa Jamhuri ya Afrika ya Kati. Jean aliendelea na kazi ya mzunguko.

  • Jamhuri Ya Kongo (Brazzaville)
    2004 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
    • Mara kwa mara, Jean Seignobos aliambatana na Ndugu Bayonne. Jean alishangaa kwamba watu walioishi ndani ya msitu walijua kwamba wanakuja. Ngoma zilitumiwa kuwasilisha ujumbe huu: “Yule Anayetembea anakuja na mzungu.”

      Safari hizo zilikuwa na matokeo mengi mazuri. Hapo awali, watu walidai kwamba Mashahidi wa Yehova wanapatikana Kongo (Brazzaville) tu. Madai hayo yalithibitishwa kuwa ya uwongo wakati Ndugu Seignobos na mishonari wengine walipokuja, na sinema Utendaji wa Jamii ya Ulimwengu Mpya (The New World Society in Action) ilipoonyeshwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki