-
Watartari—Maisha Yao ya Kale, Sasa, na Wakati UjaoAmkeni!—2011 | Septemba
-
-
Kisha mnamo 2003, kutaniko la kwanza la Mashahidi wa Yehova katika Kitartari lilianzishwa huko Naberezhnye Chelny, katika Jamhuri ya Tatarstan. Leo, kuna makutaniko 8 ya Kitartari na vikundi vingine 20 vya lugha hiyo nchini Urusi.
-
-
Watartari—Maisha Yao ya Kale, Sasa, na Wakati UjaoAmkeni!—2011 | Septemba
-
-
Kufikia sasa huko Tatarstan kuna makutaniko na vikundi 36 vya Kitartari, Kirusi, na Lugha ya Ishara ya Kirusi, ambapo zaidi ya watu 2,300 wanashiriki kwa bidii katika kazi ya kuwafundisha watu kweli za Mungu.
-