-
Ni Nani Anayeweza Kufasiri Unabii?Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
-
-
Inasemekana kwamba fundo la Gordius lilikuwa fumbo gumu zaidi kufumbua katika siku za Aleksanda Mkuu. Watu waliamini kwamba yeyote ambaye angefungua fundo hilo angekuwa mwenye hekima na angepata ushindi mkubwa.a Hekaya moja inasema kwamba Aleksanda alifumbua fumbo hilo kwa kukata lile fundo mara moja kwa upanga.
-
-
Ni Nani Anayeweza Kufasiri Unabii?Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 1
-
-
a Hekaya za Wagiriki zinasema kwamba huko Gordium, mji mkuu wa Frigia, gari la kukokotwa la mwanzilishi wa mji huo aliyeitwa Gordius, lilikuwa limefungwa kwa fundo tata sana kwenye nguzo fulani, na yeyote ambaye angelifungua angeshinda Asia wakati ujao.
-