-
Waazteki wa Kisasa Wajifunza na Kuwa Wakristo wa KweliMnara wa Mlinzi—2012 | Machi 1
-
-
Ingawa milki ya Waazteki, au Wanahuatl, ilianguka wakati Hispania ilipoteka jiji la Tenochtitlán mwaka wa 1521, lugha yao ya Kinahuatl bado inazungumzwa.a Lugha hiyo inazungumzwa na wenyeji milioni moja na nusu hivi katika majimbo yapatayo 15 nchini Mexico. Lugha hiyo imesaidia kuhifadhi mambo ambayo Waazteki waliamini zamani, kama vile inavyoonyeshwa na maneno ya mtafiti Walter Krickeberg yaliyonukuliwa hapo juu.
-
-
Waazteki wa Kisasa Wajifunza na Kuwa Wakristo wa KweliMnara wa Mlinzi—2012 | Machi 1
-
-
a Kinahuatl ni moja kati ya lugha mbalimbali zinazotumiwa na jamii za wenyeji wa Amerika Kaskazini kama vile Hopi, Shoshone, na Comanche. Kiingereza kimekopa maneno mengi kutoka Kinahuatl, kama vile avocado (parachichi), chocolate (chokoleti), coyote (koyoti), na tomato (nyanya).
-