Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Biblia ya William Tyndale Kwa Ajili ya Watu
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Julai 15
    • Uteuzi wa maneno wa Tyndale ulikuwa pia wa uangalifu na sahihi. Kwa mfano, yeye alitumia “upendo“ badala ya “fadhili,“ “kundi“ kwa “kanisa,“ na “mzee“ badala ya “kasisi“ mahali ilipofaa. Hilo lilikasirisha wachambuzi kama Sir Thomas More kwa sababu ilibadilisha maneno ambayo yalikuwa yamepata kuheshimiwa sana kupitia mapokeo. Mahali maandishi ya kwanza-kwanza yalipotaka kurudiwa kwa neno, Tyndale alikuwa mwangalifu kulirudia. Kutoa mfano: Kwenye Mwanzo 3:15, tafsiri yake ilisema mara mbili juu ya ‵kukanyagaʼ kunakofanywa na uzao wa mwanamke na yule nyoka.c

  • Biblia ya William Tyndale Kwa Ajili ya Watu
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Julai 15
    • c Watafsiri wengi wa kisasa wanakosa kuangalia kitenzi cha Kiebrania kinachorudiwa hapa pamoja na maana ile ile yacho. Kwa hiyo badala ya “-chubua . -chubua“ (New World Translation; Revised Standard Version), wanatumia “-ponda .. -piga“ (The Jerusalem Bible; New International Version), “-ponda -uma“ (Todayʼs English Version), “-kanyaga-piga“ (Lamsa), au “-ponda . . . -otea“ (Knox).).

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki