Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • it uku. 21
  • Yehova-Yire

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova-Yire
  • Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Habari Zinazolingana
  • Jaribu la Imani
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Uthibitisho Mkubwa Zaidi wa Upendo wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Mungu Anajaribu Imani ya Ibrahimu
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Yehova Alimwita “Rafiki Yangu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
Pata Habari Zaidi
Ufahamu wa Kina wa Maandiko
it uku. 21

YEHOVA-YIRE

(Yehova-yire) [Yehova Atahakikisha [Jambo] Hilo; Yehova Ataandaa].

Ni eneo lililo kwenye mojawapo ya milima ya nchi ya Moria ambapo Abrahamu aliona kondoo-dume akiwa amenaswa kichakani, basi akamtoa dhabihu badala ya kumtoa Isaka. Abrahamu aliamini kwamba kondoo-dume huyo ameandaliwa na Yehova, kwa hiyo, akaliita eneo hilo Yehova-yire. Mapokeo ya zamani yanasema kwamba hekalu la Sulemani lilijengwa kwenye eneo hilo.​—Mwa 22:2, 13, 14; tazama MORIA.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki