Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Alitenda kwa Busara
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • Askari-jeshi hao wa Daudi ambao walikuwa wakifanya kazi kwa bidii waliwatendea wachungaji hao jinsi gani? Ingekuwa rahisi kwao kujihudumia kwa kuchukua kondoo wa kula mara kwa mara, lakini hawakufanya hivyo. Badala yake, walilinda mifugo ya Nabali na watumishi wake. (1 Samweli 25:15, 16) Kondoo na wachungaji walikabili hatari nyingi. Wanyama hatari walikuwa wengi wakati huo. Na mpaka wa kusini wa Israeli ulikuwa karibu, kwa hivyo vikundi vya waporaji na wezi wa kigeni vilishambulia watu mara kwa mara.b

  • Alitenda kwa Busara
    Mnara wa Mlinzi—2009 | Julai 1
    • b Inaelekea kwamba Daudi alihisi kwamba kuwalinda wakulima Waisraeli na mifugo yao ilikuwa sehemu ya utumishi wake kwa Yehova Mungu. Katika siku hizo, Yehova alikusudia kwamba wazao wa Abrahamu, Isaka, na Yakobo waishi katika eneo hilo. Hivyo, kulinda eneo hilo kutokana na wageni wenye kuvamia na vikundi vya waporaji ilikuwa sehemu ya utumishi mtakatifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki