Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kielelezo cha Kujidhabihu na cha Uaminifu-Mshikamanifu
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Novemba 1
    • Alipotolewa mwaliko wa utumishi wa pekee pamoja na Eliya, Elisha aliacha shamba lake mara moja ili amhudumie nabii mashuhuri wa Israeli. Kwa wazi, baadhi ya kazi zake zilikuwa za hali ya chini, kwa maana alipata kujulikana kuwa mmoja “[aliye]mimina maji juu ya mikono yake Eliya.”c (2 Wafalme 3:11) Hata hivyo, Elisha aliiona kazi yake kuwa pendeleo, akashikamana kwa uaminifu-mshikamanifu na Eliya.

  • Kielelezo cha Kujidhabihu na cha Uaminifu-Mshikamanifu
    Mnara wa Mlinzi—1997 | Novemba 1
    • c Ilikuwa desturi kwa mtumishi kuyamimina maji juu ya mikono ya bwana-mkubwa wake ili kuiosha, hasa baada ya milo. Zoea hilo lilifanana na kuosha miguu, tendo ambalo lilikuwa la ukaribishaji-wageni, staha, na katika mahusiano fulani, tendo la unyenyekevu.—Mwanzo 24:31, 32; Yohana 13:5.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki