Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Yehova Asipoijenga Nyumba . . . ’
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Oktoba 1
    • Hata hivyo, mafanikio katika jitihada nyinginezo zisizohusu miradi ya majengo halisi hutegemea pia baraka ya Yehova. Fikiria maneno ya Sulemani katika mstari wa tatu wa Zaburi 127: “Tazama, wana ndio urithi wa BwANA [Yehova, NW], uzao wa tumbo ni thawabu.” Yehova ni Mjenzi bora kabisa pia kuhusiana na jamaa za watu, na wazazi wana pendeleo zuri ajabu la kuwa wafanya kazi wenzake, au vibarua-wenzi.a (Waebrania 11:10) Wazazi Wakristo waweza kutumiaje uenzi huu wenye pendeleo kwa manufaa nzuri na kufanikiwa kujenga jamaa yenye furaha na amani, moja ambayo yamletea heshima Muumba, Yehova Mungu?

  • ‘Yehova Asipoijenga Nyumba . . . ’
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Oktoba 1
    • a Kwa kweli, maneno ya Kiebrania kwa ‘wajengao’ (mstari 1) na “wana” (mstari 3) yafikiriwa yote mawili kuwa yametokana na shina linalomaanisha “kujenga.” Zaidi ya hilo, katika Kiebrania neno “nyumba” laweza kurejezea ama “mahali pa kukaa” au “jamaa.” (2 Samweli 7:11, 16; Mika 1:5) Hivyo, kujenga nyumba kwakamatanishwa na kukuza jamaa. Baraka ya Yehova yahitajiwa sana katika shughuli zote mbili.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki