Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Kitabu Hiki Chaafikiana Na Sayansi?
    Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
    • Sheria hiyo ya usafi wa kutunza afya inafunua hekima isiyokuwa ya matabibu wa mataifa ya jirani wakati huo. Maelfu ya miaka kabla ya sayansi ya kitiba kupata kujua juu ya njia ambazo maradhi huenea, Biblia iliagiza hatua zifaazo za kuzuia zikiwa kinga dhidi ya maradhi. Si ajabu kwamba, Musa aliweza kusema juu ya Waisraeli kwa ujumla katika siku yake kuwa wakiishi hadi umri wa miaka 70 au 80.e—Zaburi 90:10.

  • Je, Kitabu Hiki Chaafikiana Na Sayansi?
    Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
    • e Mwaka wa 1900, urefu wa uhai katika nchi nyingi za Ulaya na katika Marekani ulitarajiwa kuwa usiozidi miaka 50. Tangu wakati huo, urefu huo umeongezeka kwa njia ya kutazamisha si kwa sababu tu ya maendeleo ya kitiba katika kudhibiti maradhi bali pia kwa sababu ya usafi wa kutunza afya na hali nzuri zaidi za maisha.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki