Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1991 | Agosti 1
    • Kitabu cha Mithali kina mistari mingi ambayo peke yayo ni taarifa za shauri zenye maana, lakini Mithali 27:23 ni sehemu ya kikundi cha mistari: “Fanya bidii kuijua hali ya makundi yako; na kuwaangalia sana ng’ombe zako. Kwa maana mali haziwi za milele; na taji je! yadumu tangu kizazi hata kizazi? Manyasi huchukuliwa, na majani mabichi huonekana, na maboga ya milimani hukusanyika. Wana-kondoo hufaa kwa mavazi yako; na mbuzi ni thamani ya shamba: Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, ya kukutosha kwa chakula chako, na chakula cha watu wa nyumbani mwako, na posho la vijakazi vyako.”—Mithali 27:23-27.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1991 | Agosti 1
    • Mithali 27:26, 27 inataja tokeo moja la kazi ngumu kama hiyo—chakula na mavazi. Ni kweli, maelezo hayahusu vyakula vya raha vyenye gharama nyingi au aina za kipekee, wala hazimpi mfanyakazi sababu ya kutazamia mavazi ya karibuni yenye kutungwa na mbuni mwenye kujulikana sana au ya nguo ya hali bora kabisa. Lakini ikiwa ana nia ya kujitahidi, mchungaji na familia yake wangeweza kupata maziwa kutoka kwa kundi (na hivyo kupata jibini), na pia kupata sufu ili wafume mavazi mazito na imara.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki