Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mazungumzo ya Kiroho Hujenga
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 15
    • 20. Tunaweza kufanya nini ikiwa tutakutana na mtu mwenye haya?

      20 Namna gani ikiwa mtu anaonekana hapendezwi unapotaka kuzungumzia habari za kiroho? Usikate tamaa. Labda unaweza kutafuta wakati unaofaa baadaye. Sulemani alisema: “Neno linenwalo wakati wa kufaa, ni kama machungwa katika vyano vya fedha.” (Mithali 25:11) Wajali wenye haya. “Mashauri ya moyoni ni kama kilindi; lakini mtu mwenye ufahamu atayateka.”a (Mithali 20:5) Zaidi ya yote, usiruhusu kamwe mitazamo ya wengine ikuzuie kuzungumzia mambo yanayokugusa moyo.

  • Mazungumzo ya Kiroho Hujenga
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 15
    • a Visima fulani huko Israeli vilikuwa virefu sana. Huko Gibeoni waakiolojia waligundua tangi kubwa lenye urefu wa meta 25 hivi. Lilikuwa na ngazi iliyowawezesha watu kuteremka mpaka chini ili kuteka maji.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki