Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Niko Dhidi Yako, Ewe Gogu”
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
    • 8 “Mfalme wa kaskazini.” (Soma Danieli 11:40-45.) Danieli alitabiri jinsi ambavyo serikali za ulimwengu zingetokea kuanzia siku zake mpaka wakati wetu. Unabii huo unataja pia serikali zinazopingana—“mfalme wa kusini” na “mfalme wa kaskazini”—kwa karne nyingi kila serikali imekuwa ikibadilika mataifa mbalimbali ya dunia yanapopigania mamlaka. Kuhusu shambulizi la mwisho la mfalme wa kaskazini “wakati wa mwisho,” Danieli alisema: “Naye atatoka kwa hasira kali ili kuwaangamiza na kuwaua wengi.” Mfalme wa kaskazini atawashambulia hasa waabudu wa Yehova.c Lakini kama Gogu wa Magogu, mfalme wa kaskazini atafikia “mwisho wake” baada ya kushindwa atakapowashambulia watu wa Mungu.

  • “Niko Dhidi Yako, Ewe Gogu”
    Hatimaye Ibada Safi ya Yehova Yarudishwa!
    • c Andiko la Danieli 11:45 linaonyesha kwamba mfalme wa kaskazini atawashambulia watu wa Mungu, linasema mfalme huyo “atapiga mahema yake ya kifalme kati ya bahari kuu [Mediterania] na mlima mtakatifu wa lile Pambo [mahali lilipokuwa hekalu la Mungu na ambamo watu wa Mungu waliabudu].”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki