Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wanawake Wakristo Wastahili Heshima na Staha
    Mnara wa Mlinzi—1995 | Julai 15
    • 10 Kuhusu talaka, Yesu aliulizwa swali hili: “Je! ni halali mtu kumwacha [“kutaliki,” NW] mkewe kwa kila sababu?” Kulingana na simulizi la Marko, Yesu alisema hivi: “Yeyote yule atalikiye mke wake [isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati] na kuoa mwingine afanya uzinzi dhidi ya mke, na ikitukia wakati wowote mwanamke, baada ya kutaliki mume wake, aolewa na mwingine, yeye afanya uzinzi.” (Marko 10:10-12, NW; Mathayo 19:3, 9) Maneno hayo yenye kusemwa kwa usahili yalionyesha staha kwa heshima ya wanawake. Jinsi gani?

  • Wanawake Wakristo Wastahili Heshima na Staha
    Mnara wa Mlinzi—1995 | Julai 15
    • 13. Kuhusu talaka, Yesu alionyeshaje kwamba chini ya mfumo wa Kikristo, kungekuwa na kiwango kimoja kwa wanaume na wanawake pia?

      13 Tatu, kwa fungu la maneno, “baada ya kutaliki mume wake,” Yesu alitambua haki ya mwanamke ya kutaliki mume asiye mwaminifu—zoea ambalo yaonekana lilijulikana lakini ambalo halikuwa la kawaida chini ya sheria ya Kiyahudi katika siku hiyo.c Ilisemwa kwamba “mwanamke aweza kutalikiwa akitaka asitake, lakini mwanamume [aweza kutalikiwa] ikiwa tu ataka.” Hata hivyo, kulingana na Yesu, chini ya mfumo wa Kikristo, kiwango kilekile kingetumika kwa wanaume na wanawake pia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki