Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Julai 1
    • ◼ Yesu angewezaje kuwa m “mungu” aliyeumbwa na Yehova, kwa maana katika Isaya 43:10 Yehova anasema: “Kabla yangu hakuumbwa Mungu awaye yote, wala baada yangu mimi hatakuwapo mwingine”?

      Inajulikana sana kwamba Mashahidi wa Yehova wanafundisha kutokana na Biblia kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu aliyeumbwa na ni mdogo kuliko Baba yake. (Yohana 14:28:1 Wakorintho 11:3) Hata hivyo akiwa Mwenye uwezo anayetumikia akiwa Mnenaji wa Mungu, au Logos, kwa kufaa anaweza kuitwa “mungu.” Fasiri kadha za Biblia zinafasiri Yohana 1:1 kuwa ikisema kwamba Logos alikuwa “mungu.” Kwa mfano, Das Evangelium nach Johannes (1979) cha Jürgen Becker kinasema hivi: “. . . und der Logos war bei dem Gott, und ein Gott war der Logos.” (Tafsiri ya Kiswahili: “. . . naye Logos alikuwa pamoja na Mungu, naye Logos alikuwa mungu.”)a

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1986 | Julai 1
    • [Maelezo ya Chini]

      a “Mtajo wa cheo ho theos [Mungu mwenyewe, au Mungu], ambao sasa unamaanisha Baba akiwa mtu wa kweli, hautimiwi katika A[ganoj J[ipya] kuhusu Yesu Mwenyewe; Yesu ndiye Mwana wa Mungu (wa ho theos). . . . Yn 1:1 linapasa kwa uthabiti litafsiriwe ‘yule I neno alikuwa pamoja na Mungu [= yule Baba], neno alikuwa mtu wa kimungu.’”​—Dictionary of the Bible (1965), cha John L. McKenzie, S. J.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki