-
“Nimemwona Bwana!”Igeni Imani Yao
-
-
Huenda Maria aliwatangulia wale wanawake wengine na akawa wa kwanza kufika kwenye kaburi. Ghafula alisimama akiwa ameshtuka. Jiwe lilikuwa limeondolewa—na kaburi lilikuwa tupu! Hakupoteza muda, alikimbia kwenda kuwajulisha Petro na Yohana jambo aliloona. Mwazie akisema hivi kwa mshangao huku akihema: “Wamemwondoa Bwana kaburini, nasi hatujui wamemlaza wapi”! Petro na Yohana wakakimbia kuelekea kaburini, wakahakikisha jambo hilo, kisha wakarudi nyumbani kwao.a—Yohana 20:1-10.
-
-
“Nimemwona Bwana!”Igeni Imani Yao
-
-
a Inaelekea kwamba tayari Maria alikuwa ameondoka wakati ambapo wale wanawake wengine walikutana na malaika aliyewaambia kuhusu kufufuliwa kwa Kristo. Kwa sababu ikiwa angekuwepo, bila shaka Maria angewajulisha Petro na Yohana kwamba alikuwa amemwona malaika aliyeeleza kwa nini mwili wa Yesu haukuwepo.—Mathayo 28:2-4; Marko 16:1-8.
-