Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mtawala wa Ulimwengu Asiyeonekana Afunuliwa
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Septemba 1
    • Tangu wakati huo, Ibilisi anajua kwamba ni muda mfupi tu unaobaki kabla ya kuangamizwa. Ingawa ‘ulimwengu mzima unakaa katika nguvu zake,’ mamilioni ya watu leo hawajapotoshwa na jitihada zake za kujaribu kuwaongoza. Biblia imewasaidia kujua yeye ni nani na mbinu anazotumia. (2 Wakorintho 2:11) Wanafarijiwa na maneno haya ya Paulo kwa Wakristo wenzake: “Mungu anayetoa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi.”b—Waroma 16:20.

  • Mtawala wa Ulimwengu Asiyeonekana Afunuliwa
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Septemba 1
    • b Maneno ya Paulo kwenye mstari huo yanarejelea unabii wa kwanza wa Biblia ulio katika Mwanzo 3:15 ambao unaeleza kuhusu kuangamizwa kwa Ibilisi. Ili kueleza tukio hilo, Paulo alitumia neno la Kigiriki linalomaanisha “kuvunja-vunja, kutikisa-tikisa, kuvunja vipande-vipande kwa kuponda.”—Vine’s Complete Expository Dictionary of Old and New Testament Words.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki