Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maoni ya Mkristo Juu ya Mamlaka za Juu Zaidi
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Novemba 1
    • 8 Petro aliyakinisha pia kwamba twapaswa kutii mamlaka za kilimwengu za ulimwengu huu aliposema: “Tiini kila kiamriwacho na watu, kwa ajili ya Bwana; ikiwa ni mfalme, kama mwenye cheo kikubwa; ikiwa ni wakubwa, kama wanaotumwa naye ili k[u]walipiza kisasi watenda mabaya na kuwasifu watenda mema.” (1 Petro 2:13, 14) Kupatana na hilo, Wakristo wangetii pia onyo la upole la Paulo kwa Timotheo: “Basi, naomba dua, sala, maombi na sala za shukrani zitolewe kwa Mungu kwa ajili ya watu wote, kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema.”b—1 Timotheo 2:1, 2, HNWW.

  • Maoni ya Mkristo Juu ya Mamlaka za Juu Zaidi
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Novemba 1
    • a Ona, kwa kielelezo, utumizi wa neno “kodi” (phoʹros) kwenye Luka 20:22. Ona pia utumizi wa neno la Kigiriki te’los, lililotafsiriwa hapa “ushuru,” kwenye Mathayo 17:25, ambapo limetafsiriwa “wajibu mbalimbali.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki