Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mnyama-Mwitu Mwenye Rangi Nyekundu wa Ufunuo Sura ya 17 Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
      1. Angeacha kutenda kwa muda. Mnyama-mwitu mwenye rangi nyekundu angetiwa katika “abiso,”a au angeacha kutenda, kwa muda lakini angeinuka tena.​—Ufunuo 17:8.

  • Mnyama-Mwitu Mwenye Rangi Nyekundu wa Ufunuo Sura ya 17 Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
      1. Kuacha kutenda kwa muda. Ushirika wa Mataifa, shirika ambalo lilifanyizwa muda mfupi baada ya Vita vya Kwanza vya Ulimwengu ili kudumisha amani, lilishindwa kuzuia uhasama kati ya mataifa. Shirika hilo liliacha kutenda Vita vya Pili vya Ulimwengu vilipoanza katika mwaka wa 1939. Vita vya Pili vya Ulimwengu vilipokwisha katika mwaka wa 1945, shirika la Umoja wa Mataifa lilifanyizwa. Kusudi, mbinu, na muundo wake unafanana sana na ule wa Ushirika wa Mataifa.

  • Mnyama-Mwitu Mwenye Rangi Nyekundu wa Ufunuo Sura ya 17 Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • c Kwa mfano, baraza linalowakilisha dini nyingi za Kiprotestanti nchini Marekani lilitangaza katika mwaka wa 1918 kwamba Ushirika wa Mataifa ungekuwa “wonyesho wa kisiasa wa Ufalme wa Mungu duniani.” Mnamo 1965, wawakilishi wa Ubudha, Ukatoliki, Kanisa la Othodoksi la Mashariki, Uhindu, Uislamu, Uyahudi, na Uprotestanti walikusanyika kule San Francisco kutegemeza na kusali kwa ajili ya Umoja wa Mataifa. Na katika mwaka wa 1979, Papa John Paul wa Pili alieleza tumaini lake kwamba Umoja wa Mataifa “litaendelea daima kuwa baraza kuu zaidi la amani na haki.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki