Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 44
  • Kuyashiriki Mavuno kwa Furaha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuyashiriki Mavuno kwa Furaha
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kuyashiriki Mavuno kwa Furaha
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kuyashiriki Mavuno kwa Furaha
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Endeleeni Katika Kazi ya Kuvuna!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Iweni Wavunaji Wenye Furaha!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 44

Wimbo Na. 44

Kuyashiriki Mavuno kwa Furaha

Makala Iliyochapishwa

(Mathayo 13:1-23)

1. Twaishi siku za mavuno,

Pendeleo kubwa muno.

Malaika ni “wavunaji.”

Twashiriki utendaji.

Yesu aongoza shambani;

Tunamwiga hudumani.

Tuna pendeleo kubwa sana,

Tufanye kazi ya Bwana.

2. Mungu, jirani, tukipenda,

Tutachochewa kutenda.

Tuna kazi muhimu sana,

Mwisho u karibu sana.

Tuzidipo kufanya kazi,

Shangwe y’onekana wazi.

Kazi ya Ufalme tushiriki,

Mungu atatubariki.

(Ona pia Mt. 24:13; 1 Kor. 3:9; 2 Tim. 4:2.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki