Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 29
  • Kutembea kwa Utimilifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutembea kwa Utimilifu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kutembea kwa Utimilifu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kutembea kwa Ukamilifu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tembea Katika Njia ya Utimilifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Je, Utashikilia Kabisa Utimilifu Wako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 29

Wimbo Na. 29

Kutembea kwa Utimilifu

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 26)

1. Nihukumu, Nakutumaini;

Na utimilifu wangu uchunguze.

Nichunguze na unijaribu;

Nisafishe moyo, na unibariki.

(KORASI)

Ee Yehova, Nimeazimia

Siku zangu zote, kuwa mwaminifu.

2. Sikuketi na watu waovu.

Nimelichukia kutaniko lao.

Nafsi yangu usiiondoe

Nao wapendao rushwa na ugomvi.

(KORASI)

Ee Yehova, Nimeazimia

Siku zangu zote, kuwa mwaminifu.

3. Nyumba yako naipenda sana.

Na ibada yako, naunga mukono.

Nizunguke madhabahu yako,

Nitangaze kote kazi zako zote.

(KORASI)

Ee Yehova, Nimeazimia

Siku zangu zote, kuwa mwaminifu.

(Ona pia Zab. 25:2.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki