Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 123
  • Songa Mbele!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Songa Mbele!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Songa Mbele!
    Mwimbieni Yehova
  • Songa Mbele!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Nyumba kwa Nyumba”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Toka Katika Bara Lako na Kutoka kwa Watu wa Ukoo Wako”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 123

Wimbo 123

Songa Mbele!

(Waebrania 6:1)

1. Songa mbele, Songa ukakomae!

Mungu ataka tujipatie uwezo.

Mbele hudumani uendelee,

Mungu atakubariki.

Wote wanaweza kutumika;

Kama vile Yesu, wakumbuka.

Mwombe Mungu usije kuanguka.

Ushike uadilifu.

2. Songa mbele, Songa kushuhudia!

Habari za milele wote kuambia.

Sifu Yehova ukifurahia,

Hubiri nyumba kwa nyumba.

Maadui wajapokutisha,

Usisite; nenda sikizisha

Kwamba Ufalme wa Mungu karibu.

Zidi kuhubiri kweli.

3. Songa mbele, Songa; urudi tena,

Uwe stadi sana, kazi ni nyingi sana!

Roho ya Mungu ikusukume na

Ikupe furaha yake.

Kwa ajili ya jina la Mungu,

Wapende, ukutane na ndugu.

Uwasaidie waendelee,

Taa zenu zimulike.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki