Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 192
  • Kujulisha Ukweli wa Ufalme

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujulisha Ukweli wa Ufalme
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kutangaza Ukweli wa Ufalme
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kutangaza Ukweli wa Ufalme
    Mwimbieni Yehova
  • “Nyumba kwa Nyumba”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 192

Wimbo 192

Kujulisha Ukweli wa Ufalme

(Matendo 20:20, 21)

1. Ni zamani mwenendo wa

Mukristo hatukujua.

Ndipo Yehova katoa,

Waziwazi ile kweli.

2. Pendeleo tukaona

Kutumikia Ufalme,

Kusifu Yehova Mungu,

Kutukuza Jina lake.

3. Tunatoa ushuhuda

Milangoni na njiani.

Na mafunzo ya Biblia

Twafundisha ile kweli.

4. Duniani kote kote

Ibada inapanuka,

Tutumike kwa umoja,

Hadi Mungu atosheke.

(Umeendelezwa)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki