Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 148
  • Kumtukuza Mungu Wetu Mfalme

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kumtukuza Mungu Wetu Mfalme
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Bariki Kukutana Kwetu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufanikisha Maisha Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Yehova Astahili Sifa ya Milele
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Bariki Kukutana Kwetu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 148

Wimbo 148

Kumtukuza Mungu Wetu Mfalme

(Zaburi 145:1)

1. E mwimbieni Yehova!

Na kusifu kutwa kutwa.

Tutangaze jina lake

Tukaribie zaidi,

Atufungulia ’kono,

Tayari kusaidia.

Tushikamane na yeye;

Yehova Mungu ni mwema.

2. Tuwe washikamanifu

Na wa kweli tubariki.

Maana ni mwadilifu;

Tusifu ukuu wake.

Alinda walio wake;

Kusiwe magumu kamwe.

Atuondolea shida.

Tunabariki Yehova.

3. Ufalme uko karibu

Ulete mambo mazuri

Tangaza Ufalme wake,

Nyote “muliotosheka.”

Yehova ameinua

Mufalme asiyepingwa.

Waovu wataondoshwa.

Enzi ya Mungu thabiti.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki