Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 19
  • Wenye Furaha Mchana Kutwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wenye Furaha Mchana Kutwa
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Shangwe
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Shangwe​—Sifa Inayotoka kwa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Tumikia Yehova kwa Shangwe ya Moyo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Kutumikia Yehova Kwa Shangwe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 19

Wimbo 19

Wenye Furaha Mchana Kutwa

(Zaburi 32:11)

1. Furahi! Terema!

Sisi tuna Yehova.

Furahi, daima,

katika kazi yake.

Tumetoshelezwa. Tunaye Mungu.

Tunahitaji nini kingine?

Tunayo amani

Tumeridhika sana.

Bila uhitaji;

Karibia Yehova.

Shangilia sana, usigeuke,

Tunavuna kwa furaha nyingi.

2. Tumewekwa huru

kwa kujua ukweli.

Tunasikiliza

sauti yake Yesu.

Na kwa damu yake tukawa huru

Na tukachaguliwa na Mungu.

Sasa Ufalume

Wake unatawala.

“Mutumwa” wa Yesu

anatutunza sisi.

Tuna maarifa; na tumaini.

Tufariji wanadamu nayo.

3. Ni furaha kubwa

kuhubiria watu.

Kwetu ni furaha

kuwakuta kondoo.

Penda ndugu zako, Wakaribishe,

Tuna amani akili moja.

Daima furahi

Julisha Ufalume

Tazama uone

mukutano mukubwa!

Yehova tulishe utuongoze.

Sifa ni kwako wewe Yehova.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki