Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 65
  • Kukutana Katika Umoja

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kukutana Katika Umoja
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Baraka za Umoja wa Kidugu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Familia ya Yehova Hufurahia Muungano Wenye Thamani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Kufanya Kazi kwa Umoja
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Lifurahieni Tumaini”
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 65

Wimbo 65

Kukutana Katika Umoja

(Zaburi 133)

1. Vema kuona ndugu

Kuwa na umoja,

Wakipendana kweli

Kutenda pamoja!

Baraka kama umande

Mulima Hermoni

Ulioshuka Sayuni

Ukaburudisha.

2. Tukutane pamoja,

Na kuhimizana.

Tufanye tangazo la

Tumaini kweli.

Na kuhusu mikutano

Tujitayarishe,

Tuwe tayari kuwapa

Wengine ukweli.

3. Yehova mwaminifu;

Neno ni hakika.

Tujifunze pamoja

Tutumai sana.

Tusikose kusanyiko

Na udugu wetu,

Maana siku ya Mungu

Inakaribia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki