Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 42
  • “Njia Ndiyo Hii”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Njia Ndiyo Hii”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Utatembea Pamoja na Mungu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • O Enda Pamoja na Mungu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tembea Pamoja na Mungu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 42

Wimbo 42

“Njia Ndiyo Hii”

(Isaya 30:20, 21)

1. Mungu anaita; Njia ni hii,

Njia Yehova ametuonyesha.

Mufereji wake wa peke’ sana,

wa kuonyea na wa kusemea.

Njia hii itembee.

Usingoje! Usisite!

Masikio yetu yanausikia.

Na tuseme juu yake.

Atusaidia tuitembee.

Mapito manyofu tuyatembee.

2. Na sauti nyuma, inapendeza,

Mwalimu wetu ametufundisha.

Tunasikiza kwa makini sana.

Hatua zetu zisiende kombo.

Pita hapa kwa ukweli,

patakata, na pasafi.

Ona kwa imani amani yaletwa,

naye Yesu kwa Ufalme.

La hatugeuki tumeishika,

Kwa njia ya Mungu twasonga mbele.

3. Njia ya Yehova tutangazie

Wenye kusikiza ulimwenguni.

Kama njiwa wanakuja pamoja

Wajia Yehova ni kimbilio.

Njia yake ya amani.

Uhuru anaotupa.

Njia za adili na za kupendeza

za uzima wa milele.

Haya mbele songa inua kichwa,

Kazia Ufalme macho kikiki.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki