Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 55
  • Kutembea Kila Siku Pamoja na Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutembea Kila Siku Pamoja na Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kutembea na Yehova Kila Siku
    Mwimbieni Yehova
  • Kutembea na Yehova Kila Siku
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kristo Mfano Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Yehova Anataka Nini Kutoka Kwako?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 55

Wimbo 55

Kutembea Kila Siku Pamoja na Yehova

(Mika 6:8)

1. Tutembee na Yehova,

Na kwa unyenyekevu.

Ni fadhili kama nini

Kwa watu wa udongo!

Kutembea naye Mungu

Ni kwa mapatano tu,

Tunaanza na wakifu;

Twasimama kwa Mungu.

2. Ni salama kutembea

Na yeye Baba yetu.

Twasongwa na wapinzani

Waibe tuzo letu.

Ni Shetani, mashetani

Na mitego ya mwili

Na mali za ulimwengu;

Jamani ni mitego!

3. Mungu ’metusaidia

Kwa roho, Neno lake,

Na kwa kundi la Kikristo,

Sala zisikiwazo.

Tutembeapo naye Yah,

Tufanye mambo mema.

Tupende fadhili sana,

Kiasi mbele zake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki