Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 80
  • Kutembea Katika Jina la Mungu Wetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutembea Katika Jina la Mungu Wetu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Sisi Ni Mashahidi wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Yehova Aanza Kutawala
    Mwimbieni Yehova
  • Kumwabudu Yehova, Bwana Mwenye Enzi Kuu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Yehova Aanza Kutawala
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 80

Wimbo 80

Kutembea Katika Jina la Mungu Wetu

(Mika 4:5)

1. E Mwenye Enzi, Yehova Mungu,

Kwa upendo wako twakusifu.

Wasamehe, watuonya njia.

Bwana, tutadumu hudumani.

2. Adui wengi. Wao ni jeshi.

Wajivunia miungu yao.

Ni ya uwongo; twasema kweli

Twaenda katika jina lake.

3. Bethlehemu katoka ’Tawala,

Kwa Muchunga anayeokoa.

Sasa “mabaki” wamerudishwa,

Wakweza ibada yako Bwana.

4. Mwabudu Yehova. ’Tumikie.

Na ujifunze, mapenzi yake.

Panga, mikuki ni ya amani.

Kwa furaha ’tamutumikia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki