Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 216
  • “Mwe na Shauku Nyororo”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mwe na Shauku Nyororo”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • “Iweni na Upendo Mwororo kwa Mtu na Mwenzake”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • “Mpendane Ninyi kwa Ninyi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Endelea Kusitawisha Upendo Mwororo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Kupata Ufunguo wa Shauku ya Kidugu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 216

Wimbo 216

“Mwe na Shauku Nyororo”

(Warumi 12:10)

1. Yehova ana shauku kwao wataka

Kibali yake sasa!

Rehema na wema wake zafurahisha;

Kwake twapata pumuziko.

2. Upendo wa kidugu uwe na shauku

Nyumbani mwake Mungu.

Na mwenendo wetu ukuheshimu Mungu

Nasi tudumishe umoja.

3. Sisi Wakristo tu mumoja na mwenzake,

Tukijaliana na,

Kuheshimiana, na hangaikiano

Hatutawaudhi wengine.

4. Kwa hekima tuzingatie shauku, na

Kama Yesu kafunza.

Wema wa moyo na ufahamu wa pendo

Wafurahisha wengi pia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki