Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 75
  • Sifa Yenye Furaha kwa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sifa Yenye Furaha kwa Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Furahia Tumaini la Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kumtukuza Baba Yetu, Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Ni Nini Kilicho Bora Kuliko Uzima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 75

Wimbo 75

Sifa Yenye Furaha kwa Yehova

(Zaburi 63:5)

1. Kwa sauti ya furaha

Tunatoa sifa nyingi.

Sababu Mungu hutoa

Vitu tunavyohitaji.

Kwa mioyo ya furaha

Sisi tunasifu Mungu.

Na asante zetu zimwendee;

Tunafurahia yeye.

2. Alitoa Mwana wake,

Ili kuwe na wokovu.

Tunasali jina lake

Liondolewe lawama.

Na tunathamini sana

Ushirika wetu naye.

Tunamupenda sana daima;

Tunamupenda kwa moyo.

3. Ona utukufu wako.

Furaha kwa uongozi!

Tunamwabudu Yehova,

Tunatumaini yeye.

Chini ya uvuli wake,

Tunaupata ulinzi!

Mioyo yetu inamwimbia;

Tuna shauku na yeye.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki