Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 105
  • Mpe Heko Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mpe Heko Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Mshangilieni Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova
  • Shangilieni Ufalme wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Msifuni Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 105

Wimbo 105

Mpe Heko Mzaliwa wa Kwanza wa Yehova!

(Waebrania 1:6)

1. Heko Muzawa kwanza

—Ni Murithi yeye—

Tangu aumbwe yeye,

Katii Babaye.

Kafanya vilivyoko

Vya mbingu, vya chini,

Mungu akatukuza

Yu muneni wake.

2. Ingawa alikuwa

Mutu wa kimungu

Hakujilinganisha

Na cheo cha Mungu.

Kashuka chini yeye

Kujinyenyekeza

Atetee Yehova

Uzima atoe.

3. Yesu kakwezwa naye

Mungu juu sana

Wa Yehova wakili

Atakase jina.

Kwenye Har–Magedoni

’Talinda wa’budu,

Aharibu adui,

Alete amani.

4. Mupe heko wa kwanza!

Ufalme tangaza.

Kwenye nyumba uweko;

Kweli dumisheni.

Nafusi kujitunza.

Funza watu kazi.

Na kuhimiza ndugu

Wamushangilie.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki