Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 225
  • Kukaribia Karibu Sana na Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kukaribia Karibu Sana na Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • “Kumkaribia Mungu Ni Jambo Jema” Kwetu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • Yehova Ni Mfano Bora Sana wa Wema
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Mweneo Mkubwa Ajabu wa Wema wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • “Wema Wake, Jinsi Ulivyo Mwingi!”
    Mkaribie Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 225

Wimbo 225

Kukaribia Karibu Sana na Yehova

(Zaburi 73:28)

1. Kibali chako, Mungu,

Tunaithamini.

Kama watoto wako

Tukukaribie.

Wewe kuwa Rafiki

Ni hazina bora.

Upendo wako ni safi.

Tunakushukuru.

2. Kama Muchunga wetu,

Ulitufadhili

Kwa Kristo ukatwita

Toka ulimwengu.

Ulisamehe dhambi

Kwa rehema nyingi.

U mwenye fadhili sana

Tukaapo nawe.

3. Mwanao katufunza

Tukujue wewe.

Wororo, wema wako,

Watupa ajabu.

Twataka kukujua,

Tukukaribie.

Urafiki na udumu;

Tukutumikie.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki