Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 8
  • Kutii Kishikamanifu Utaratibu wa Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutii Kishikamanifu Utaratibu wa Kitheokrasi
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kutii Utaratibu wa Kitheokrasi kwa Ushikamanifu
    Mwimbieni Yehova
  • Kutii Utaratibu wa Kitheokrasi kwa Ushikamanifu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Uzima wa Milele Umeahidiwa
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kuonyesha Ushikamanifu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 8

Wimbo 8

Kutii Kishikamanifu Utaratibu wa Kitheokrasi

(1 Wakorintho 14:33)

1. Watu wa Yehova watangazapo

Kweli za Ufalme zilizo bora.

Utaratibu wa kitheokrasi

Lazima tutii, kuwe umoja.

(Korasi)

2. Yesu Kiongozi atangulia;

Awapa silaha askari wake.

Vita vya kiroho, tutende sote

Tukiwa kundi la umoja sana.

(Korasi)

3. Tuna “wakili” wa Mungu na roho.

Twaongozwa navyo siku kwa siku.

Na uwe thabiti; pendeza Mungu,

Utangaze yote aamuruvyo.

(KORASI)

Utii wetu kwa kuthamini

Mungu atudai.

Hupa ulinzi, shauku pole.

Twashikamana naye.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki