Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 2
  • Kumtii Mungu Kuliko Wanadamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kumtii Mungu Kuliko Wanadamu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kumtukuza Baba Yetu, Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shukrani kwa Ajili ya Subira ya Kimungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mtafute Mungu Upate Ukombozi
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 2

Wimbo 2

Kumtii Mungu Kuliko Wanadamu

(Matendo 5:29)

1. Mambo yote tunafanya;

Tupendeze Mungu.

Hivyo wasioamini,

Wanatushangaa.

Kuliko kutii watu,

Tunatii Mungu.

Maisha na tufanyayo

Yamutegemea.

2. Twapa Kaisari yake,

Haki watawala.

Mungu twaheshimu hivyo

Kwamba ni wa kweli.

Sisi tulinunuliwa

Tuwe mali yake,

Mungu tu twatumikia

Kutii Bwanetu.

3. Ili tusifu Yehova

Tuwe wa amani,

Tusiwe waasi kamwe

Wala kupigana.

Twatumikia Mungu na,

Theokrasi yake,

Bila woga enzi yake

Twaishuhudia.

4. Kwanza utumishi wetu.

Hatutazuiwa,

Wengi wanapata kiu;

Ya Neno la Mungu.

Watu wajapozuia;

Hatutasimama:

Tuzidi kutii Mungu;

Hataacha sisi!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki