Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 177
  • Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kumtukuza Baba Yetu, Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mpe Yehova Sifa
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kuthamini Huruma za Mungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kupata Urafiki wa Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 177

Wimbo 177

Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?

(2 Petro 3:11)

1. Tunaikaribisha siku ya Yehova.

Tunaelekeza moyo kwake na Yesu.

Usiku waisha Siku karibu;

Mambo yote ya Shetani yaishe.

Daima tuone uhitaji wa sala.

Tujitahidi, sala inahitajiwa.

Tutoe sala kwa moyo wetu wote,

Tuwe na amani ya akili atoayo.

2. Furaha na amani inakuwa wazi.

Na tumekuwa tamasha ya watu wote.

Je! tuwe watu wa aina gani?

Ni vitendo gani vitakatifu?

Tueleze wengine juu ya Ufalme

Na pia mbingu mupya na dunia mupya

Na uadilifu utakaa humo.

Tutie bidii kusema habari hizo.

3. Matendo, na mwenendo wetu tudumishe

Kufuata kanuni za faida kubwa.

Yesu alitusafishia dhambi,

Na sasa tuna amani ya Mungu.

Daima tuwe bila doa wala waa;

Sisi watumishi wa Yehova tu huru.

Na tukiwa na urafiki na yeye,

Atatusaidia mpaka kufika mwisho.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki