Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 215
  • Kueneza Rehema kwa Wengine

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kueneza Rehema kwa Wengine
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Baba Yenu Ni Mwenye Rehema’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Je! Rehema ya Mungu Inafunika Dhambi Zako Zote?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Tunamtumikia Mungu Aliye “Tajiri Katika Rehema”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Tunaweza Jinsi Gani Kutenda Kwa Rehema?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 215

Wimbo 215

Kueneza Rehema kwa Wengine

(Luka 6:36)

1. Kale Yehova aliposema

Gharika iue waovu,

Ndipo agizo kapewa Noa:

‘Jenga safina! Uhubiri!’

Je! alikataa kwa sababu,

Hajajenga safina mbele?

La, aliitumia rehema,

Kajenga, kahubiri sana.

2. Mufumo wa kale unakoma,

Kwa rehema asema Mungu

Kwamba habari za mwisho wao

Zitolewe na kusikiwa.

Wasema “Siwezi kuhubiri

Kwa kuwa sijui kusema”?

Kama Mungu amekurehemu,

Roho itakusaidia.

3. Mungu ’meleta kweli, rehema,

Na furaha i katika “nchi.”

Lo! mwonjo wa hali za Ufalme

Zitakazotoka kwa Mungu!

Basi tuwarehemu wengine

Kwa kuwasihi watu wote:

Tenda sasa! Jiweke wakifu;

Uutumikie Ufalme.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki